Kitause

Kitause ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Watause. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kitause imehesabiwa kuwa watu 300. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitause iko katika kundi la “Lakes Plain”.


Developed by StudentB